Professor Jay Azidi Kuiteka Mikumi, Angalia Wananchi Wa Mikumi Wanavyomkubali, Ona Anavyopambana

"Nikisindikizwa na Nyimbo Za ukombozi na mama zangu wa kijiji cha MUNISAGALA!!"-Professor Jay

 Safari ya kuelekea MUNISAGALA ni lazima muache magari na kupanda pikipiki au baiskeli na kuifuata RELI mpaka mnafika.... jitihada za makusudi sana zinatakiwa kuikabili changamoto hii ya MIUNDO MBINU! !


Harakati zimeendelea kijiji cha MUNISAGALA kilichopo kwenye Kata ya MASANZE!!







Bila kujali utofauti wa itikadi kisiasa, jinsia, upinzani katika soka nk, Professor Jay anawependa wote








No comments:

Post a Comment

Translate

 
Support : Admin Mikumi Yetu Mikumi Yetu
Copyright © 2009. MIKUMI YETU - Haki Zote Zimehifadhiwa.
Sponsored by MIKUMI YETU
Proudly powered by MIKUMI YETU