ST. KIZITO, Ni hospitali iliyiopo mji mdogo wa mikumi, hospitali hii inatoa huduma ya matibabu kwa wakazi wote wa mji mdogo wa mikumi, na watu wanaotoka nje ya mji mdogo wa mikumi
Pia ST. Kizito Hospital inatoa huduma ya matibabu kwa kutumia BIMA YA AFYA, kwani kulikuwa maswali mengi toka kwa wakazi wa mikumi juu ya huduma ya BIMA YA AFYA, Kwa kifupi huduma ya BIMA inatolewa hapa
No comments:
Post a Comment