Kijana Hashim Ramadhani Divundame ametangaza rasmi kuwa atagombea
ubunge Jimbo la Mikumi Kupitia Chama tawala cha CCM.
Divundame alitoa kauli hiyo kupitia
mtandao wa kijamii wa Whatsapp Kupitia group la Whatsapp la wana Mikumi
lijulikanalo kwa jina la MIKUMI PAMOJA. Hili group lipo kwa ajiri ya kuwaleta
wananchi wote wa Jimbo la Mikumi pamoja popote walipo.
Hashim Ramadhani Divundame
Hapo chini ni Ujumbe wa
mgombea mtarajiwa alioutuma katika group la MIKUMI PAMOJA group ambalo linaongozwa na kijana anayejulikana kwa jina la Fadhili
Mshamu
No comments:
Post a Comment