Ilikuwa siku ya furaha kwa wanaharakati hawa kukutana
Habari
zenu humu ndani,kiukweli jana nilikuwa na safari zangu mkoani kwangu
morogoro nikapata muda wa kufika mikumi kuongea machache na vijana wa
ccm nikiwa kama kamanda wa vijana wa ccm kata ya mikumi.Katika
mazungumzo yangu na vijana wenzangu wa pale
nyumbani tumeongelea mengi juu ya
uchaguzi uliopita,ujao na suala
lakuhamasisha vijana umuhimu wa kujiandikisha kwenye daftari la kudumu
la kupigakura ili kutumia haki zao za msingi kumchagua kiongozi
wamtakaye kwenye uchaguzi ujao...........Pia tumeongelea suala la
kuisoma na kuielewa rasimu ya katiba pendekezwa kabla hawajaipigia kura
ya ndio au hapana.
-NI MIMI HASHEEM DIVUNDAME
No comments:
Post a Comment