HOSPITAL YA ST KIZITO ILIYOPO MJI MDOGO WA MIKUMI YABORESHA HUDUMA KWA WAMAMA WAJAWAZITO

 St Anna ni maternity ward  iliyoko st kizito hospital, wanawake wengi wanajifungua , wengi wao wakiwa wanatoka nje ya mji mdogo wa mikumi kwa sababu huduma zake ni nafuu sana na ina vitanda zaidi ya 50




mashine za kuhifadhia watoto wanaozaliwa kabla ya wakati, ujulikana kama watoto njiti
 sehemu ya vyoo vilivyopa ndani ya jengo hili la wodi ya wa mama
 Mashine za kisasa zilizopo ndani ya wodi hiyo


Chumba maalumu ndani ya wodi ya wakina mama, chumba hiki kina huduma zote zinazopatikana sehemu  moja, mgonjwa aitajiki kutoka nje ya chumba kutafuta huduma ya choo, bafu kwani vyote vinapatikana hapo hapo


No comments:

Post a Comment

Translate

 
Support : Admin Mikumi Yetu Mikumi Yetu
Copyright © 2009. MIKUMI YETU - Haki Zote Zimehifadhiwa.
Sponsored by MIKUMI YETU
Proudly powered by MIKUMI YETU