KAMATI YA BUNGE KILIMO, MAJI NA MIFUGO YAFANYA ZIARA MANISPAA YA MOROGORO NA JIMBO LA MIKUMI

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya kilimo, maji na mifugo,Prof. Peter Msola (shati nyeupe) akiongoza kamati yake kukagua mradi wa maji wa Mambogo manispaa ya morogoro.Katikati ni Naibu Waziri wa Maji,Mh. Amos Makalla.
Naibu Waziri wa Maji,Mh. Amos Makalla (kushoto) akiongea na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya kilimo, maji na mifugo,Prof. Peter Msola walipotembelea mradi maji Mikumi.

Naibu Waziri wa Maji,Mh. Amos Makalla akitoa maelekezo kwa mkandarasi mradi wa maji Mikumi.



No comments:

Post a Comment

Translate

 
Support : Admin Mikumi Yetu Mikumi Yetu
Copyright © 2009. MIKUMI YETU - Haki Zote Zimehifadhiwa.
Sponsored by MIKUMI YETU
Proudly powered by MIKUMI YETU